Tuzo kwa Mahakama
Utekelezaji Sheria Uliojikita katika Upelelezi
Dhamira ya Tuzo kwa Mahakama (TKM) ni kutoa taarifa za maana zinazowalinda Wamerikani na kuendeleza usalama wa kitaifa wa Marekani. Programu inatoa tuzo kwa habari kuhusu ugaidi, shughuli mtandaoni zenye nia mbaya dhidi ya Marekani zinazoelekezwa kutoka nje, na taratibu za kifedha za wanaoshiriki kwenye shughuli fulani za kuusaidia utawala wa Korea kaskazini.